Thursday 25 September 2014

#‎Pantsdown‬: Mchungaji wa kanisa moja la Nairobi, afumaniwa katika chumba cha wageni akimtafuna kondoo wake

Wakaazi wa eneo la Rosters jijini Nairobi walishuhudia kioja si haba wakati mchungaji wa kanisa moja liliko mtaani pumwani alipofumaniwa na mke wa wenyewe kwenye tendo la ndoa. Hata hivyo, mchungaji huyo alijitetea kuwa alikuwa kwenye pilkapilka za kutoa huduma. 

No comments:

Post a Comment